Website ya Orijino komedi suspended

Website ya Orijino komedi suspended

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Sijui hawajui au anaewangalizia kajisahau.....site yao naona imepigwa pini kiaina....
Account Suspended

Mwenye ukaribu nao awashtue ili wapenzi wao waendelee kuwafatilia kwa ukaribu
 
Masanja hata blog yake anaupdate mara mbili kwa mwaka
 
Kwani wanjua kuingia kwenye web yao?
 
Back
Top Bottom