mraniwene New Member Joined Apr 23, 2022 Posts 2 Reaction score 1 Apr 21, 2024 #1 Habari wadau, naona website ya ORS BRELA, kila siku nikiingia haifanyi kazi, mara inachelewa kufunguka. Je, inazidiwa matumizi au wadau wanafaidika kwa kufanya hivi? bado sijaelewa kabisa.
Habari wadau, naona website ya ORS BRELA, kila siku nikiingia haifanyi kazi, mara inachelewa kufunguka. Je, inazidiwa matumizi au wadau wanafaidika kwa kufanya hivi? bado sijaelewa kabisa.