Babu wa Loliondo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 323
- 105
Huu ndio ujumbe ninaokutana nao kila nikijaribu kuperuzi www.ajira.go.tz tangu jana,msaada wanJF
Database Error: Unable to connect to the database:Could not connect to MySQL
Wanaingiza data za waliofanya interview juzi.sasa watakuwa wanaizuia mpaka watakapomaliza kuingiza data ndo wanaachia.majina yenyewe mengi mno.mimi nashauri interview zenye watu wengi sana wawe wanatumia utaratibu wa bahati nasibu.wanaingiza namba za washiriki (wenye sifa) kwenye mtambo na kuu command uchague watu wanaohitajika randomly.
mimi nimeifungua mida ya saa 03:00 ikafunguka ila hamna kipya na sasa haifunguki tena.nawashauri kesho amkieni sakretarieti kwa ajili ya oralView attachment 74528
Haya ndio nimeyakuta mchana huu wa saa Nane na nusu (14:30),Mungu tusaidie Oral isiwe kesho maaana yaweza kuwa watu wengi tukaumiaaaaaa
hivi ikitokea nilikuwa nimeitwa kwenye usaili,na kwakuwa tovuti yao haifunguki kwahiyo sikuona jina langu,naweza kuchukua hatua yoyote juu yao?