Website ya Secretariat ya Ajiri kimeo

Website ya Secretariat ya Ajiri kimeo

Babu wa Loliondo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
323
Reaction score
105
Huu ndio ujumbe ninaokutana nao kila nikijaribu kuperuzi www.ajira.go.tz tangu jana,msaada wanJF

Database Error: Unable to connect to the database:Could not connect to MySQL
 
Wanaingiza data za waliofanya interview juzi.sasa watakuwa wanaizuia mpaka watakapomaliza kuingiza data ndo wanaachia.majina yenyewe mengi mno.mimi nashauri interview zenye watu wengi sana wawe wanatumia utaratibu wa bahati nasibu.wanaingiza namba za washiriki (wenye sifa) kwenye mtambo na kuu command uchague watu wanaohitajika randomly.
 
hilo nalo neno!
 
duh,wiki nzima wanaingiza tu,kwanza sithani!huwa wanaandaa majina katika PDF then wafanye attachment.
 
Kwanini website ya hawa jamaa haifunguki tangu majuzi?,naona hawa jamaa wanafanya mambo yao kienyeji sana.
 
hivi ikitokea nilikuwa nimeitwa kwenye usaili,na kwakuwa tovuti yao haifunguki kwahiyo sikuona jina langu,naweza kuchukua hatua yoyote juu yao?
 
ajira.PNG
Haya ndio nimeyakuta mchana huu wa saa Nane na nusu (14:30),Mungu tusaidie Oral isiwe kesho maaana yaweza kuwa watu wengi tukaumiaaaaaa
 
Watu wamepiga oral Leo asubuhi we bado unasubiri tu
 
View attachment 74528
Haya ndio nimeyakuta mchana huu wa saa Nane na nusu (14:30),Mungu tusaidie Oral isiwe kesho maaana yaweza kuwa watu wengi tukaumiaaaaaa
mimi nimeifungua mida ya saa 03:00 ikafunguka ila hamna kipya na sasa haifunguki tena.nawashauri kesho amkieni sakretarieti kwa ajili ya oral
 
Back
Top Bottom