wandugu nilikuwa nataka kuangalia ratiba za mechi wikiendi hii. nimeenda tff.or.tz nimekasirika sana. website inahabari za zamani za mtani jembe. na kwenye recent results wameweka mechi ya azam na prisons ya tarehe 22 february. hivi wangekuwa serious na hii web si wangeingiza pesa?.
BTW mwenye kujua ratiba naomba anijuze au hakuna mechi?

shukrani mkuu. hao jamaa wamekalia pesa. hiyo website ingekuwa serious ingewaingizia pesa nyingi sana.Tff ni wazembe hawajielewi wanapitwa mpaka na website za nje,
Angalia www.flashscore.com utapata ratiba za mechi za bongo
hii inatosha kabisa kumuondoa kazini afisa habari. wanipe niiendeshe nitaifa itembelewe zaidi tz. incompetence zingine hazivumiliki.tff hawana website ya kueleweka
1.elimu ndogo ya viongozi kuhusu ''mtandao''
2.kizazi kinacho ongoza tff ni kile cha 60's
3.ufisadi/wizi/ubadhirifu