Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
wandugu nilikuwa nataka kuangalia ratiba za mechi wikiendi hii. nimeenda tff.or.tz nimekasirika sana. website inahabari za zamani za mtani jembe. na kwenye recent results wameweka mechi ya azam na prisons ya tarehe 22 february. hivi wangekuwa serious na hii web si wangeingiza pesa?.
BTW mwenye kujua ratiba naomba anijuze au hakuna mechi?
BTW mwenye kujua ratiba naomba anijuze au hakuna mechi?