mkuu sidhani km wana websitecyao ngoja ntakuchekia. king'amuzi kinaitwa ting sasa hivi wana channel kumi na tano. local stations ni ya kwao atn, tbc1, itv,eatv na channel ten. za nje ni ajazeera, za dini toka nje ni ya wakatoliki EWTN, TBN, Emmanuel tv, jctv nyimbo za dini za ulaya, loveword ya pastor chris, church channel, DW TV AFRICA na Ghana tv hawa huwa wana muvies kibao na vipindi vya soccer. decoder inauzwa laki moja lkn hawajaanza kulipia kwa mwezi. wameahidi kuanzia january kuna channel wataziongeza ikiwamo espn na ndo itaanza malipo kwa mwezi. mwezi wa sita wata introduce internet maana kuna port ya kuchomekea modem/flash so itakuwa ya kisasa. ila kinachonisikitisha ni kwamba kinatumia antenna ya kawaida yeyote ile, sasa kupata reception yakeinakuwa ngumu hasa kwa maeneo km sinza. mie natumia Antenna aina ya air star ndo at least channel zinapatikana. cost yao mwa mwezi wanatarajia itakuwa shs 7500/-