Inashangaza kidogo Tume ya Uchaguzi ya Taifa ya Tanzania haina hata majina ya wagombea wala habari za uchaguzi wa mwaka huu. sana sana hutuba za wakubwa wa NEC .
Ukiangalia Presential candaidates unakuta majina kama Lyatonga Mrema. anna senkondo .
habari mpya ni ya tarehe 2 julai 2010 . hii ndio NEC ya Tanzania itakayosimamaia uchaguzi 2010 .
Wewe unatarajia nini kwa wale MABABU? Au hujawahi fanya kazi na watu wanaoamini kwamba cumputer zilikuja kama mbadala ya typewriter? Ukiingia ofisini unaikuta kwa PS, bosi ana kabati limejaa mafaili!......
Ee bwanaee
Nimeingia hapo last week sikuona kitu.
Naona hawa mababu wakiiona kompyuta tu, kompyuta ndo inachanganyikiwa.Bora ikae kwa ma-PS.
Watazame mimacho!!
Hah hah hah!!