Elections 2010 Website ya tume ya uchaguzi Tanzania

Elections 2010 Website ya tume ya uchaguzi Tanzania

ODD

Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
31
Reaction score
4
Inashangaza kidogo Tume ya Uchaguzi ya Taifa ya Tanzania haina hata majina ya wagombea wala habari za uchaguzi wa mwaka huu. sana sana hutuba za wakubwa wa NEC .

Ukiangalia Presential candaidates unakuta majina kama Lyatonga Mrema. anna senkondo .
habari mpya ni ya tarehe 2 julai 2010 . hii ndio NEC ya Tanzania itakayosimamaia uchaguzi 2010 .
 
Wewe unatarajia nini kwa wale MABABU? Au hujawahi fanya kazi na watu wanaoamini kwamba cumputer zilikuja kama mbadala ya typewriter? Ukiingia ofisini unaikuta kwa PS, bosi ana kabati limejaa mafaili!......
 
Wewe unatarajia nini kwa wale MABABU?


LewisMakame.jpg




kiravu_small.jpg
 
Si NEC peke yao, updating of websites ni tatizo la kitaifa
 
Na hata ile ya Zanzibar Electoral Commission haina kitu chochote kuhusu
Uchaguzi huu.
 
Back
Top Bottom