Website ya Ubalozi wetu Brazil inavutia

Website ya Ubalozi wetu Brazil inavutia

Hapana itifqk haisem hivyo.ni lazima wataalam waende.ebu tuache sihasa kwenye utaaalam
Watalaamu 53 (wasafiri mpaka Brazil) wafanye uchunguzi yakinifu Kwa kutumia (hadidu za rejea) ili kupata taarifa kamili
 
Serikali wapo nyuma sana na mambo hayo hata hao TCRA unaona kazi yao ni kamatq kamata tuu na si kusimamia mambo ya kitaalamu ya bando na matumizi mengine ya walaji...
 
Hicho ni kitu kdogo tu. Kuna madudu makubwa sana Serikalini. Yaani tumezoea uozo mpaka inakuwa kawaida tu
 
Back
Top Bottom