Website ya UDSM kwikwi ama?

Website ya UDSM kwikwi ama?

Mpogoro

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2008
Posts
387
Reaction score
58
Document1.jpgKwa nyakati tofauti rafiki yangu mmoja amekuwa anajaribu kutembelea tovuti ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam leo lakini inaonekana pages sijui zimenyofolewa au ndo maintenance...tuweke basi hata ka taarifa kanachoeleweka kwenye tovuti hasa inapokuwa chini!Angalia hiyo screenshot ya tovuti hapo juu!
 
Hapo umenena ndugu! Hawana updates ama? Wanazingua chai tupu!
 
Mkuuu hata mimi nimeshatoka jasho...... Duh! Ila nawaaminia after tym tuchek inaweza kuwa poa. Otherwise wanaboa... Inabid waweke warning kama wanafanya maintenance!! Waache kuchukulia vitu poa udsm is international so things like this they undermine it.... Shame of u it guys!
 
Back
Top Bottom