Website za kutazama UEFA Champions League

ngakotecture

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2014
Posts
2,569
Reaction score
2,847
Jamani kama mnavojua leo ni UEFA Champions League tulio wengi tunapenda mechi za Ulaya tatizo DStv hatuna na gharama kubwa kulipia.

Mwenye kujua websites yenye kuonyesha live mpira msaada tafadhali na mechi ndo saa 2245:smile-big::smile-big:
 
Google Mechi unayotaka kuangalia leo, mfano PSG v Chelsea Live Streaming.

Baada ya hapo watakuletea majibu mbalimbali, kati ya majibu hayo angalia site hii ambayo ni www​.ronaldo7.net hawa huwa wanachannel nyingi sana kwa kuonesha hizi Mechi.

Ukishaingia ktk hiyo Site fuata maelekezo. Ukifail uliza tena hapahapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…