Wee mchungaji acha kutukera wenzio

Mimi ni msabato
Kama Ndio anaonyesha Hizo tabia, anajificha kwenye dini.
 
Sivipendi hivi vikoba aisee
Vile sio vicoba haswa haswa ila lengo lake ni kusaidiana katika mema na mabaya ila wakasema basi nivema ile michango tunayoitoa tukopeshane ili kuongeza kipato cha kikundi kwa hizo riba
 
Mimi ni msabato
Kama Ndio anaonyesha Hizo tabia, anajificha kwenye dini.
Yaani yeye anachofanya anataka respect anayopata kule kanisani kama mama mchungaji ndio hiyo hiyo tumpe wanakikundi
 
Ukishakubali kuchungwa na mchungaji unatakiwa uwe kondoomwema usikilize anachosema Mama Mchungaji.

Ndiyo maana wengine tulishakataa kabisa upuuzi huu wa kuchungwa kama wanyama wasio na maarifa.
 
Vile sio vicoba haswa haswa ila lengo lake ni kusaidiana katika mema na mabaya ila wakasema basi nivema ile michango tunayoitoa tukopeshane ili kuongeza kipato cha kikundi kwa hizo riba
Najua lakin mi kwa upande wangu siwezi tu
 
Yaani yeye anachofanya anataka respect anayopata kule kanisani kama mama mchungaji ndio hiyo hiyo tumpe wanakikundi
Mwambieni ukweli
Mkiweza mtoeni kwenye kikund, anawarudisha nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…