Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
kilo 95 ninayo nitavaeje mchuchumio? ahaaa si nitazama ?Kitanifaa maana mie sipendi maviatu marefu kwa kuwa ni mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kilo 95 ninayo nitavaeje mchuchumio? ahaaa si nitazama ?Kitanifaa maana mie sipendi maviatu marefu kwa kuwa ni mrefu
black ya ukweli acha kabisaHahaha mie mwenyewe ni mgonjw wa viatu uwii nakipigia picha nakikosa !hebu Miss Natafuta niambie ni rangi gani?mwe
kilo 95 ninayo nitavaeje mchuchumio? ahaaa si nitazama ?
Haahhaahhahahahahahahaahahhahahah, kwani wewe ulivyoweka thread hapa kuwa bosi wako ALIKUBAKA ofisini kwake, huyo bosi yumo humu JF tehe tehe
Vile sio vicoba haswa haswa ila lengo lake ni kusaidiana katika mema na mabaya ila wakasema basi nivema ile michango tunayoitoa tukopeshane ili kuongeza kipato cha kikundi kwa hizo ribaSivipendi hivi vikoba aisee
Mh siwezi zile taratibu tu nikuwe mkweliahahha mumeo ashauona !lol
Yaani yeye anachofanya anataka respect anayopata kule kanisani kama mama mchungaji ndio hiyo hiyo tumpe wanakikundiMimi ni msabato
Kama Ndio anaonyesha Hizo tabia, anajificha kwenye dini.
Hicho unavalia nguo yoyote ileaww inaenda kote kote !nice
Hahahahahaaa utunze vizuri siku ukimpata mwingine unaanza kutupia tumimi nilivalishwa shosti ninazo kabatini huwa nacheeeka kweli ujana maji ya moto.niliitwa na malkia
Najua lakin mi kwa upande wangu siwezi tuVile sio vicoba haswa haswa ila lengo lake ni kusaidiana katika mema na mabaya ila wakasema basi nivema ile michango tunayoitoa tukopeshane ili kuongeza kipato cha kikundi kwa hizo riba
Oya tunafanyaje sasa mtt wa busweruHicho unavalia nguo yoyote ile
Amina aminaPepo mtaka vya wenzie huyo kemea kabisa ashindwe
Mwambieni ukweliYaani yeye anachofanya anataka respect anayopata kule kanisani kama mama mchungaji ndio hiyo hiyo tumpe wanakikundi
Ahsante kwa ushauri impelleMwambieni ukweli
Mkiweza mtoeni kwenye kikund, anawarudisha nyuma