Wee mchungaji acha kutukera wenzio

Wee mchungaji acha kutukera wenzio

ahaaaa kitimoto nimeacha nilipata mchepuko wa kiislam shoga niliswalishwaje? ahaaa kitimoto sio nzuri kiivo wala sili tena najisi ile


alafu huelekei km hunywi aisee nakuhisg unakunywa maana akili zako unazijua mwenyewe hahahah !bas wewe usinywe ! ni km espy anywe pombe jaman !kutakuwaje humu
 
hahahah, sasa baba mchungaji kuwa si anaweza akawa na utaratibu mgumu kwa mfano, kabla ya "kuduu" mfanye maombi kwanza kuombe tendo pendwa! hahahahhaha ila kapeace wewe ahaahah
Hainaga uchungaji hiyo section ili kumpunguza kuwashwashwa huyo mama mchungaji lazima kondoo ajipitishe kwa mchungaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
100% huyu bidada hanaga makuu yeye km ulivyosema! yaan haon shida kukutoa out aisee !ni kweli wasokunywa huwa ipo nshida sehem !nami huwa simtupi aisee !hatutupan sema mwenzangu daily lazima atoe lock ila ni peace mbayaaaa!
duh kume hunywag? safi ! mie nastua stua ila nipo fit tu sema sitak ziniendeshe !ila nikiamua ah chupa la dompo nalifuta freshhhhhhhhhhyyy,,nw nimehamia kwenye 'desperado' very tastey !jaribu sku 1 !nimeacha smirnof blak ice nimemwachia Maserati
Kunywa na Robertson iko vizuri hahahaahahhah
 
hahahah, kwani wewe ulivyoweka thread hapa kuwa bosi wako ALIKUBAKA ofisini kwake, huyo bosi yumo humu JF tehe tehe
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
ahahhahaha huyo ndo NAHUJA !jana kuna jirani yangu akanijia kwangu saa 1 akasema yupo bored twende tukanywe pombe !hhaha nilijikuta nashangaa whaaat !akasema yes twende turud 5usk !wote hom tulicheka ! hahah mna raha mnaotafuta furaha!ila ukiolewa ndo ntolee shogaa !enjoy to the max!
hahhah, mialiko ya hivyo naipenda sana
 
ahaaaa kitimoto nimeacha nilipata mchepuko wa kiislam shoga niliswalishwaje? ahaaa kitimoto sio nzuri kiivo wala sili tena najisi ile
Utakuwa ulienjoy sana na huo mchepuko wa kiislamu, maana wanaume wa dini ya kiislamu wanajua sana MAHABA na MAPENZI wako vizuri anakupa penzi hadi unaona kama dunia inaangalia chini juu
 
Hivi ilikuwaje mpaka mkawa na Msabato kwenye kikundi chenu?, kweli mna moyo mgumu sana, hao wanajuana wao kwa kwao tu, unless mumpate Msabato mwenye uelewa na uwezo wa kuwakubali na kuwavumilia wenzie,
Ni kikundi cha akina mama cha ujirani mwema!
 
Utakuwa ulienjoy sana na huo mchepuko wa kiislamu, maana wanaume wa dini ya kiislamu wanajua sana MAHABA na MAPENZI wako vizuri anakupa penzi hadi unaona kama dunia inaangalia chini juu
hajui lolote ndo maana nilimuacha
 
Mnagoja nini kumkata...

cc: mahondaw
Inakuwa ngumu kumtoa maana hajaenda kinyume na masharti ya kikundi, mikutano anahudhuria, ada analipa, akichelewa kulipa SDA wenzio wanamlipia ila kuwarudishia ndio inakuwa mbinde. Sasa sio rahisi kumtoa kwenye kikundi eti kwa kwakuwa ana deka au anatuzonga tukinywa pombe hahahaha ngumu sana hiyo Smart911
 
Back
Top Bottom