Wee ukisusa, wenzio twala

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Wewe ukisema wa nini na kutema shombo kwake
kuna watu wanalia kumpata mwaka mzima
wametega ndoano zao,wewe unampaka shombo
wenzio wamepose na mataulo wanasubiri umuache
wao wampokee,wamfute shombo wampe mahaba
hadi shetani aogope. Mifupa kwa binadamu sio chakula ila kwa mbwa ni
kama Pizza ya Steers...
Wakatiwewe unamuona kimeo kuna watu wana
sababu Bilioni moja za kumpenda na kumpa yote
kama Coca Cola walivyo na sababu bilioni 1 za
kuithamini Africa..

Maumivu Yakizidi Muone Daktari
 
Ukizima moto ilala watauwasha wa kinondonii.....
 
Sio mbaya, sio gari tu bali hata funiture huwa tukizichoka tunabadilisha, tunatoa cha zamani maana kimetukifu, tunaweka kipya, kibovu changu kipya cha mnyonge wangu, simba akishiba minofu fisi anaburuta mifupa. Upohapo?
 
Sio mbaya, sio gari tu bali hata funiture huwa tukizichoka tunabadilisha, tunatoa cha zamani maana kimetukifu, tunaweka kipya, kibovu changu kipya cha mnyonge wangu, simba akishiba minofu fisi anaburuta mifupa. Upohapo?
Mkimegewa msije hapa kulia lia
 
Hey #stunter hii Automatic Thread Creator umenunua wapi bro...
 
We jamaa kuna mashindano ya kuweka nyuzi? acha ulimbukeni bana.
Hapana ni haki yake jukwaa halijaweka limit ya kuanzisha nyuzi...kumbuka kila mtu ana kipawa chake
Wengine kuanzisha nyuzi tuu
Wengine kuchangia tuu
Wengine kulike tuu
Wengine kusoma tuu
Na wengi kati ya hao kufanya yote kwa pamoja na hii ndio afya na uhai wa jukwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…