Karibu sana tanga.
Hahaha umeua!
Paloma mengine muachie baba na mama.......,asante kwa taarifa. na huyu wifi yetu.....ni wa huko huko au mtatoka naye huku kwenye uvundo?
haya nawaachia!
wape shkamoo zangu hao baba na mama......afu waambie nataka mdogo wangu tena wa kiume!
View attachment 95659
Baada ya pilika pilika za Daslam nategemea kuwa Mikanjuni Tanga kula bata na shemeji/wifi yenu huyu hapa. Wana Tanga Wing nipokeeni na Ratco bus la saa 8.00 mchana. Fukwe ya Tanga ni nzuri sana upepo wake naufananisha na ule wa Bagamoyo umetulia hauna uvundo uvundo kama wa Coco beach. DARKCITY, Paloma, Baba V, Asprin, KOKUTONA