naona picha imejieleza kikamilifu
hao wengine ni mashost zangu wa hum hum JF majina kapuni....,
Raha jipe mwenyewe ukisubiri kupewa imekula kwako
Kitu cha "Oliver Twist"
hivi kuna vibali hivyo manake na mimi nika kifaa changu nataka nikipeleke Chuda sema ulinzi unanipa wasi wasi kidogo ...utalindwa na mmasai au hawa hawa wa Kova?