Week end njema wakuu

Week end njema wakuu

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
9,578
Reaction score
7,774
Baada ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa kwa week nzima sasa napenda kuwaaga kwa kusema.....'thank God its friday'...ngoja niwahi familia
 
duh!!
wengine hatutamani hiyo wikiend maana nni kero tupu
yaan ntaenda misa ya asubuhi na jioni as nikikaa mtaa ntakuwa nawekewa pilipili machoni
 
usijali yote ni katika kutimiza majukumu
 
na wewe pia kwa hiyo hutweza kupost tena mpaka j3..ila tutakumis sana mkuu igwe
 
Mhhh hivi weekend ndo nini maana mimi ni muendelezo mpaka niamkie jumatatu
 
na wewe pia kwa hiyo hutweza kupost tena mpaka j3..ila tutakumis sana mkuu igwe

ahahhhahaaaaaaaa!..si unajua tena wengine tunatumia computer za ofisni mkuu...joke
 
Sante IGWE! Wikiendi njema na kwako pia. Salimia familia.
 
Ntapata wapi nguruwe aliepikwa akapikika? yaani kitimoto??

Njoo whiterose,...ama kama uko dar nenda mburahati ama kurasini ndani ya 77
 
Baada ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa kwa week nzima sasa napenda kuwaaga kwa kusema.....'thank God its friday'...ngoja niwahi familia
see you guy, but usisahau kumpelekea REDDS 2
 
duh!!
wengine hatutamani hiyo wikiend maana nni kero tupu
yaan ntaenda misa ya asubuhi na jioni as nikikaa mtaa ntakuwa nawekewa pilipili machoni
nitakutumia inspirational novels kama 6 hivi sitakuondolea mawazo
 
Back
Top Bottom