Week end njema wakuu

Week end njema wakuu

No wonder the production graph has dropped down!
There're kinds of Mwita25, Rejao, Fauzafox etc, they're on a computet all around the clock!
kwani mtandao upo kwenye computer za ofsi tu hata kwenye simu wewe? unategemea ofisi kupost jf wewe?
 
Basi ngoja nimuombe lolyz sijui naye atasema anaogopa kulogwa
 
Na nani tena, wikiendi leo nyumbani kesho nahudhuria harusi, Jumapili Church baadae jioni kwenye movie


Mwenye mali mshika bunduki

Ratiba nzuri sana ila mbona hata mwaliko sijaona aise wa hii weekend au nzo za kula mwenyewe
 
Baada ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa kwa week nzima sasa napenda kuwaaga kwa kusema.....'thank God its friday'...ngoja niwahi familia

ni wakati wa kuweka shida shida chini na kunyanyua mikono juu. Banjuka tu!
 
Back
Top Bottom