I am a bit Old fashion hivo naamini saana ule msemo wa "Mwanamke Mjinga huvunja ndoa yake mwenyewe"... Naamini kua kuna responsibilities i have to carry as a wife... kama kumajali mume wangu to the Maximum - ikihusisha kuhakikisha anakula good food, nguo zipo safi na tayari, namjali na nipo kwake when ever he needs me whether for better or worse... in addition taking care of the kids and my home... nikihakikisha there is love and harmony; which mara nyingi ni possible zaidi if you love... For naamini kama umeshika nafasi yako ipasavo kama a Wife.. hata kama mumeo hakupendi, kama ni muelewa ata ku appreciate...
Nikifanya hivo nategemea atani appreciate... atanipa support pale ninapoelemewa hata kama ni direct majukumu ndani... atanithamini... na atanipenda (na haya yoote huonekana kwa vitendo - from the way ata ku handle); Kwamba atakua kweli Mwanaume wa nyumba na Kweli Mume na Baba pia... BUT kinyume cha hapo... Kweli ni vigumu kuvumilia milele - waweza vumilia hoping he will change, but asibadilike... hapo kweli inakua kama vile ni mtumwa....