Week ya pili sasa. Je nitapata madhara? Si kawaida

Wadau. Msaada sijaosha rungu week ya pili sasa. Nipo huku Dubai. Sijui hata pa kuanzia. Nawaza je sitopata madhara yoyote bila kuchovya rungu week 2 sasa? Sijazoea... Imeniletea shida muda wote mnara umesimama una search.... 5G

Hakuna mwana JF wa kike aliyepo Dubai tuonane tuweze kutiana moyo na kufarijiana? Achej DP World waje wawekeze Tz jamani. Acheni hawa jamaa wanajiweza sana. Wapewe tu bandari waitumie watakavyo.

Huku nakosa mademu wa kibongo. Tumefikia Hotel ya nyota 4 wengi hawafikii hapa. Sisi walalahoi matajiri wanakaa 5 star. Sasa nawaza itakuaje
huyu atakuwa rafiki yake maurid wa kitenge
 
Kama huwezi kukaa week mbili bila mbususu, maana yake wewe ni mtu wa totoz sana, sivyo?

Kama ndivyo, basi si rahisi kukosa totoz popote. Maana lugha ya mapenzi ni universal.

Kama sivyo ni sawa kwa hali uliyonayo
 
Wadau. Msaada sijaosha rungu week ya pili sasa. Nipo huku Dubai. Sijui hata pa kuanzia. Nawaza je sitopata madhara yoyote bila kuchovya rungu week 2 sasa? Sijazoea... Imeniletea shida muda wote mnara umesimama una search.... 5G

Hakuna mwana JF wa kike aliyepo Dubai tuonane tuweze kutiana moyo na kufarijiana? Achej DP World waje wawekeze Tz jamani. Acheni hawa jamaa wanajiweza sana. Wapewe tu bandari waitumie watakavyo.

Huku nakosa mademu wa kibongo. Tumefikia Hotel ya nyota 4 wengi hawafikii hapa. Sisi walalahoi matajiri wanakaa 5 star. Sasa nawaza itakuaje
Duuuh
 
Hiyo mikono ulipewa na Mungu kwa kazi gani!!?? Chukua sheria mkononi au MKONO BAO.
 
Mkuu hatutaki siasa huku, nenda jukwaa la siasa.

Ikibidi waambie waarabu wakupige spana
 
Wadau. Msaada sijaosha rungu week ya pili sasa. Nipo huku Dubai. Sijui hata pa kuanzia. Nawaza je sitopata madhara yoyote bila kuchovya rungu week 2 sasa? Sijazoea... Imeniletea shida muda wote mnara umesimama una search.... 5G

Hakuna mwana JF wa kike aliyepo Dubai tuonane tuweze kutiana moyo na kufarijiana? Achej DP World waje wawekeze Tz jamani. Acheni hawa jamaa wanajiweza sana. Wapewe tu bandari waitumie watakavyo.

Huku nakosa mademu wa kibongo. Tumefikia Hotel ya nyota 4 wengi hawafikii hapa. Sisi walalahoi matajiri wanakaa 5 star. Sasa nawaza itakuaje
Wewe ni mvulana
 
Back
Top Bottom