Logo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2011
- 588
- 48
- Thread starter
- #21
Jaman unahitaji kujuana nini sasa? si mwanamke anauke na mimi mwanaume ninaume kujuana nini tena?*Starehe zitakuponza,itakwaje ukutane na mtu leo,hujui tabia yake,hajui yako,hamfahamiani na kuanza malavidavi leo?wangapi uliowapata kwa style hiyo?nakushauri kama umeamua tafuta wale wa kuwanunua ili kuokoa mda.