Weekend chartshow; lady haha anaboa

dawa yenu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
2,825
Reaction score
3,675
Huyu bi dada ni mtangazaji wa Clouds tv yaani anaboa mpaka kichefuchefu. Yupo kwenye kipindi cha Weekendchart show.. kwanza bi dada much know mbaya halafu full kuiga pozi za Nick Minaj, hayupo real hata kidogo. Fujo tu na kiingereza chake cha kuumiza masikio. kila kitu anajua yeye... aargh kama vipi aondolewe tu anazingua
 
Daaaa...
Kuna siku nlitaka kuangalia ila nkaishia kulala tv iko on...
Kipindi kinaishaga saa ngapi?
 
Daaaa...
Kuna siku nlitaka kuangalia ila nkaishia kulala tv iko on...
Kipindi kinaishaga saa ngapi?

kipindi kibovu kile mi mwenyewe huwa sikimalizi
 
nimekiangalia jana nadhani ndio mara yangu ya kwanza ila nadhani sitarudia tena.
Hadi wenzie wakawa wanampiga madongo sababu wamechoka na ki-english chake.
Anawakatiza wenzie wanaongea utadhani wanapiga story wakati wako kwenye kipindi na wanachoongea inabidi kieleweke na sie watazamaji wao.
 

anapenda aongee yeye tu hata kama hana cha kuongea
 
Pale mpole Perfect Chrispine.,Nashauri ile Show iwe live kama Friday Knight Live ya EATV.
 
Afadhali nimepata pa kutolea hili dukuduku langu,tokea hicho kipindi kianze,wakakikatiza (nilikua sikioni muda flani hivi) leo ndio nimeweza kukiangalia chote kwenye marudio yake.
Huyo mdada anakera sana sijui anaringia nini mbaya kama nini.
Na hivi yeye ndiye aliyemuhoji T.I alivyokuja....mbona tutakoma mwaka huu!
Sikiangalii tena!!!!
 
Katika kipindi kibovu ni hiki! unajua lengo la Clouds TV ni kuwa na kipindi kama Friday night live cha EATV bahati mbaya hawana watangazaji wanao fit kwenye TV!

Kutangaza kwenye TV sio mchezo unaweza jikuta unaongea pumba na kupayuka kama huyo Mdada! Mtu kama B 12 angefanyiwa training ya kutangaza kwenye TV angefaa zaidi sema anaonekana ni muoga wa camera!

Wale wengine nao hawana jipya zaidi ya kujichochora kwenye mwili!Huyu lady haha anahitaji mafunzo hata ya kuongea maana hana kabisa anachojua!

Unajua alifikiri kuongea kingereza ndio suluhu lakini chakushangaza hapangilii maneno na hajui kuwapa nafasi wenzie!

Mwanzo nilikuwa nadhani huyu Dada amechanganyikiwa kabisa!
 
Daaaa...
Kuna siku nlitaka kuangalia ila nkaishia kulala tv iko on...
Kipindi kinaishaga saa ngapi?

hivi akanana amu olio?
 
Last edited by a moderator:

Kipindi hakina mpangilio kabisa yani mandhari hayana tofauti na sokoni kariakoo!
 

Huyu Mdada pamoja nakujua kingereza bado hajui kupangilia mambo ndio maana hata akiongea anaonesha ana ropoka!

Kibaya zaidi hajui kuwapa nafasi wenzie kabisa na kipindi ana kigeuza kama soko vile! Hiki kipindi kina hitaji mtu mmoja mwenye uelewa wa mambo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…