dawa yenu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 2,825
- 3,675
Huyu bi dada ni mtangazaji wa Clouds tv yaani anaboa mpaka kichefuchefu. Yupo kwenye kipindi cha Weekendchart show.. kwanza bi dada much know mbaya halafu full kuiga pozi za Nick Minaj, hayupo real hata kidogo. Fujo tu na kiingereza chake cha kuumiza masikio. kila kitu anajua yeye... aargh kama vipi aondolewe tu anazingua