Weekend hii unaimalizaje? Manchester amepigwa, simba amepigwa na mkeka wako umechanika!!!

Weekend hii unaimalizaje? Manchester amepigwa, simba amepigwa na mkeka wako umechanika!!!

911sep11

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
2,461
Reaction score
4,272
Naona kana kwamba unapitia wakati ulio mgumu.
Hongereni yanga kwa ushindi wa kishindo.
Henu fikiria
Simba chali
Man u chali
Mkeka umechanwa na hizo timu huku wewe ukiwa ni shabiki kindakindaki
 
Screenshot_20220813-220625.png
 
Hatari sana huku nyumbu mwenye miguu minne huku simba jike lenye mimba ya watt wawili...Leo tuna maumivu kweli Yani.
 
Naona kana kwamba unapitia wakati ulio mgumu.
Hongereni yanga kwa ushindi wa kishindo.
Henu fikiria
Simba chali
Man u chali
Mkeka umechanwa na hizo timu huku wewe ukiwa ni shabiki kindakindaki
Kwa Man United hii siku inacheza na Man City weka hata milioni
 
Back
Top Bottom