Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 851
Geto natombanaBaada ya mihangaiko ya week Leo naamini umepata wasaha wa kupumzika ,wapo ambao wapo nyumbani,wengine bar, wengine kanisani wengine wamelala toka asubuhi wengine vijiweni
Mwenzenu toka asubuhi nipo home kupika, kufua, na usafi wa jumla mida hii nipo mahali natengeneza kucha
#Tuambie upo wapi na unafanya nini
Sasa wapatapi muda wa kushuka simu?????Geto natombana
Mpe hainipo hapa na wifi yako ananikuna kidevu
Ujalewa kweli?Bar nakunywa bia
Huyo dada hapo kwenye avatar ni wewe?
Bado nakunywa bia siwezi kulewa....Ujalewa kweli?
Umeoga kweli Leo,Nipo nyumbani nimejilaza bed nafanya kazi ya kutambaa kama nyoka. Natoka jf, naenda WhatsApp,natoka naenda normal texts then narudi jf natoka naenda insta
[emoji124]
DuhBado nakunywa bia siwezi kulewa....
Baadae ndio nitahamia kwenye zile pombe nyeupe
Nimeoga ,nmekula,nmefanya kazi zangu and now napumzikaUmeoga kweli Leo,
Muda huu ni wakuelekea msalato, pestana badae badae.Nipo njiani kuelekea Pestana Pub kwenye hili jiji jipya la wagogo..
Hivi huko insta kunafananaje maana sjawai kufika kabsaaNipo nyumbani nimejilaza bed nafanya kazi ya kutambaa kama nyoka. Natoka jf, naenda WhatsApp,natoka naenda normal texts then narudi jf natoka naenda insta 🚶