Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
JiandaešJamani tupitiane felister ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JiandaešJamani tupitiane felister ,
Mbona Hawa Sina sasaMarafiki zako wa Ulevini Ulelewa Ulevini na hao mara nyingi ndio marafiki wa kweli ambao wanaweza kesha na wewe Central kama Nje ya Central kuna bar
Marafiki hawa wa ulevi wanaweza kesha Mochwari kwa sababu pale nje ya Hospital kuna Bar
Marafiki hawa huweza kesha kwenye msiba wako kwa sababu pale pembeni kuna Bar
Hakuna rafiki mwenye kuheshimu thamani ya Urafiki wenu kama mtu mnayekunywa naye pombe
Kama ukimpoteza rafiki mnayekunywa naye Pombe kurudi urafiki wenu ni ngumu sana Maana mara nyingi yeye siyo mnafiki
Rafiki huyu mara nyingi huwa mkweli mwepesi kujua kosa na kuomba samahani hana majivuno na Ukimtaka muda wowote atakuja
Usimdharau rafiki wa Pombe kwa sababu zozote ambazo hazina msingi na wala usikate urafiki na rafiki yako Mnywaji utakuwa umekosea for the Maximum
Rafiki huyu ni mkweli muwazi ila akificha jambo akiwa mzima atakwambia akiwa amelewa [emoji3] huyu ndio rafiki wa kweli kwako
USHAURI
Mtu asikudanganye kuachana na rafiki zako wanywaji maana anakuchonganisha na watu muhimu sana kwako
#Mdomo wenye furaha ni ule wenye pombe
Nipe location tuanakusalimu pia, kasema anatamani ujumuike nasi jioni ya leo for dinner
You will be there??Muda huu ni wakuelekea msalato, pestana badae badae.
Umenikumbusha enzi zangu aiseeNipo nyumbani nimejilaza bed nafanya kazi ya kutambaa kama nyoka. Natoka jf, naenda WhatsApp,natoka naenda normal texts then narudi jf natoka naenda insta
[emoji124]
Na foleni ya dar mbona atafika saa 2Nipo najiandaa na show kwa kupaka puturuu demu kasema kafika segrerea anasubiri gari za kinyerezi
[emoji1787][emoji1787][emoji1732]Ni Mimi kaiba picha yangu..
Endelea kufikiriaNafikiri jinsi ya kumtongoza demu, tangu asubuhi
Mimi mgeni pande hizi,kuna mtu kaniambia nisogee hapo..kumbe nitakuwa nimeyumba!!??Mbona mapema Sana chief. Now ungeanza mtaani tu
Pole kumbe hujapita siku nyingi au ulienda pm za uswazi, njoo uta enjoy huku kuna lami saaaafiiiiiiHaha njia ya pm ni rough road nikitambaa nitaumia
[emoji1732][emoji1732][emoji1732] tukutane wapi?Jiandae[emoji126]
YesYou will be there??
[emoji23][emoji23]..mara demu anasema."samahani siwezi kuja tena"Nipo najiandaa na show kwa kupaka puturuu demu kasema kafika segrerea anasubiri gari za kinyerezi
Tukutane nyerere square,au msalato kabisaš[emoji1732][emoji1732][emoji1732] tukutane wapi?
Haha au sioPole kumbe hujapita siku nyingi au ulienda pm za uswazi, njoo uta enjoy huku kuna lami saaaafiiiiii
Sijakuelewa..unamaanisha??Nipigie hapa saloon best
Yuko vizurii...hakika na wewe utakua vizuri pia,msalimie huyo jirani yakoJirani yangu
Sahivi nenda msalato au lala tuMimi mgeni pande hizi,kuna mtu kaniambia nisogee hapo..kumbe nitakuwa nimeyumba!!??
Namalizia kupaka rangi hapa square Basi tukutane huko hukoTukutane nyerere square,au msalato kabisa[emoji23]
Nice..