Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Njugumawe hunogesha sana makande.Ila ya leo nimeweka maharage,mahindi na njugu mawe yaani matraaaamm na nazi mbili,..njooo tushindane kumjambia mume wetu mwenza wooiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njugumawe hunogesha sana makande.Ila ya leo nimeweka maharage,mahindi na njugu mawe yaani matraaaamm na nazi mbili,..njooo tushindane kumjambia mume wetu mwenza wooiii
Eti nini?
Ndio maana mume wetu anatupenda wakeze...hatukoseagi jikoniNjugumawe hunogesha sana makande.
Shemeji hebu toa matunguli yote hadi kieleweke.Nahitahidi mno shemela sijui nafeli wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani shemeji kalumanzila miss you too.
Sasa yale manuva unafanya lini jamani umchukue tu huyu mtoto?
Cc cute b
[emoji1732][emoji1732]Nipo kitandsni napika ugali na wali wa bamia
Hivi umeelewa ?
Sawa mkuuRelax
Njema dada shemeji. Kumbe unataka kufanya nini?Habari za siku nyingi kaka shemeji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo chukua mwenza yapo kibao,.na yalivyokolea nazi basi ni kujamba tuu leo usiku kucha,.
mmhNdio maana mume wetu anatupenda wakeze...hatukoseagi jikoni
hahah eti unatambaa🤣😂Nipo nyumbani nimejilaza bed nafanya kazi ya kutambaa kama nyoka. Natoka jf, naenda WhatsApp,natoka naenda normal texts then narudi jf natoka naenda insta
🚶
Shem bae😉
LOVE BABE SHEM BAE DARLING HONEYShem bae😉
Hahahaa kama yoteeeee😋😍😍😍😍🤩LOVE BABE SHEM BAE DARLING HONEY
weekend ukala peke yako😕Hahahaa kama yoteeeee😋😍😍😍😍🤩
Natambaaa mwenzangu😂😂😂hahah eti unatambaa🤣😂
JF, INSTA, WHATSAPP, FB, TWITTER 😎Natambaaa mwenzangu😂😂😂