Weekend hii utakuwa na nani?

Weekend hii utakuwa na nani?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Weekend hii utakuwa na nani?

Usikubali ipite kama ilivyopita ile nyingine na zile zingine. Siku ikishapita imepita, haijirudii...mfano leo Ijumaa tarehe 5, mwezi wa 6 mwaka 2020 haitajirudia kamwe. Hii inamaanisha, upatapo nafasi itumie vizuri kutoa sumu mwilini.

Je, weekend hii utakuwa na nani?
 
Baada ya kazi wiki nzima kumwendea Mungu na kumshukuru ni vyema...Jumamosi na Jumapili ni siku za ibada.

Panga Familia yako kukutana na Mungu siku zote Anza na weekend hii.
Kabla ya wakoloni (waarabu na wazungu) kutuleta imani zao barani Afrika, weekend tulikuwa tunafanya nini?
 
Ulikuwepo wakati huo?

Kama ukoloni ndo ulileta dini basi hili ni moja ya Jambo zuri kutoka ktk baya.
Wakoloni wajanja,walileta hizo imani ili watubake kisaikolojia....na wabebe mali zetu, na walifanikiwa
 
Mpare na bata wapi na wapi na wewe😉! Raha ya bata mkutane wote mnajua kula bata....! Sio mnafika Mafia unaanza kuuliza kila aina ya kinywaji na bei zake..nusu saa nzima unauliza bei za misosi..!aku!
Yaani ungejua hata usingesema hivyo. Il nitakutafuta kuku prove wrong. Japo sitaki kukurupuka, nataka nikiweka ndoan o unanasa hapo hapo.
 
Back
Top Bottom