Weekend hii utakuwa na nani?

Weekend hii utakuwa na nani?

Yaani ungejua hata usingesema hivyo. Il nitakutafuta kuku prove wrong. Japo sitaki kukurupuka, nataka nikiweka ndoan o unanasa hapo hapo.
Nitoke na jitu linalokunywa pepsi tena ya moto inahuuu??unatoka out na men ana laki??? Si bora kulala mkuu๐Ÿ˜‰!
Mimi ndo nikutake wewe sio wewe unitake mimi๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ! Toka lini majimama yakatongozwa? Yanatongoza babu weee!๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค
 
Kwanza wewe sio jimama, na mwanaume makini hawezi kutapa tapa kuwa anatembea na bei gani labda ukitaka xhibit utaonyeshwa.
Na kuhusu ninachokunywa yaani hadi nkuhurumia kwa sababu mimi nacheza na nacheza na gin tu. Kwa hio Kama best umezoea kupiga zako heinkein inabidi usije ukaniiga. Na mimi sikutongozi hata siku moja ila nitakunasa tu.
 
ila wap

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ!ila wapare mko juu aisee๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ! Umeniletea hamu ghafka ya kinywaji
 
Ila wewe nitakunywesha Zappa, nitafute mwenyewe.
Nitakupeleka ukale sushi kama unazipenda. Au wewe ni mpenzi wa maparachich na ndizi. Kama ni hizi itabidi ninunue John Walker( Red)uje geto nikupikie.
 
Back
Top Bottom