Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kabla ya wakoloni (waarabu na wazungu) kutuleta imani zao barani Afrika, weekend tulikuwa tunafanya nini?Baada ya kazi wiki nzima kumwendea Mungu na kumshukuru ni vyema...Jumamosi na Jumapili ni siku za ibada.
Panga Familia yako kukutana na Mungu siku zote Anza na weekend hii.
Bia peke yake haipendeziNitakuwa na bia pembeni nikishushia huku nacheki series ya siren
Bia peke yake haipendezi
Ulikuwepo wakati huo?Kabla ya wakoloni (waarabu na wazungu) kutuleta imani zao barani Afrika, weekend tulikuwa tunafanya nini?
ha ha ha ha maua ya dunia ni muhimu kuwa nayo karibuUnadhan nini cha ziada niongeze zaidi ya nyama choma na ndizi zangu za kukaanga pembeni nilizoandaa Mimi ?
Utakuwa naye wapi?
Wakoloni wajanja,walileta hizo imani ili watubake kisaikolojia....na wabebe mali zetu, na walifanikiwaUlikuwepo wakati huo?
Kama ukoloni ndo ulileta dini basi hili ni moja ya Jambo zuri kutoka ktk baya.
Itakuwa vizuri sanaWiki hii natumai nitakuwa naspend na mama watoto
Mtakuwa maeneo gani
Mpare na bata wapi na wapi na wewe😉! Raha ya bata mkutane wote mnajua kula bata....! Sio mnafika Mafia unaanza kuuliza kila aina ya kinywaji na bei zake..nusu saa nzima unauliza bei za misosi..!aku!
Hahaha big up mkuu mimi mwenyew nlipanga kesho niichek hii series.Nitakuwa na bia pembeni nikishushia huku nacheki series ya siren
ha ha ha ha maua ya dunia ni muhimu kuwa nayo karibu
Yaani ungejua hata usingesema hivyo. Il nitakutafuta kuku prove wrong. Japo sitaki kukurupuka, nataka nikiweka ndoan o unanasa hapo hapo.Mpare na bata wapi na wapi na wewe😉! Raha ya bata mkutane wote mnajua kula bata....! Sio mnafika Mafia unaanza kuuliza kila aina ya kinywaji na bei zake..nusu saa nzima unauliza bei za misosi..!aku!