Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Ila wewe nitakunywesha Zappa, nitafute mwenyewe.
Nitakupeleka ukale sushi kama unazipenda. Au wewe ni mpenzi wa maparachich na ndizi. Kama ni hizi itabidi ninunue John Walker( Red)uje geto nikupikie.
Geto langu ni kama Club tu hadi disco light.Zappa sijawah ifikiria kbs...we naye na mambo ya kuja geto kwako inahu .hapa ni bata tu kila akajifie front
Hapo sawa...sio uniwekee bongoflava ..weka pini kali za kubang! Maisha ndo haya hayaGeto langu ni kama Club tu hadi disco light.
We we utakuw mnywaji was tequilla
Cabbage ya kiangazi bwan😋😋😋! Esp sept! HongerasanaShambani napalilia na mazao huku nikitafakari namna kuweka mirija ya kujipatia fedha zaidi za kujikimu na familia View attachment 1470084
Nop.tequila naijua tu wanatumia friends.. Sijawah ionja! Mie naipenda desperado ingawa nahis kuacha soon!Geto langu ni kama Club tu hadi disco light.
We we utakuw mnywaji was tequilla
Ila JF ina watoto wakali sana aisee.Nipo na mtoto mkali sana toka jf, sitaki utani mimi, nimeiacha pombe, siendi disco, situmii madawa...naachaje watoto wakali, hiyo ndio pombe yangu! Come join us pls!!
Gossip au sioWeekend nitakuwa kijiweni napiga story na jamaa zangu.
Mzee itabidi nije nikutembelee hapo Kijiweni nipate mawaidha ya wakongwe.Nipo Kilingeni Msata karibuni sana..
Jr[emoji769]
Hapana. Story za maisha,mpira,magari,meli,ndege na raia walivyojilipua ughaibuni.Gossip au sio
ha ha ha uko na nani?Duh sasa mnaaza kutaka kujua watu weekend wanafanya nini, huu uchawi
Kula bata maisha ni mafupi,na mbinguni hatuendi na viwanjaNitakuwa somewhere nanunua kiwanja
bata kwanza,mengine baadayeHayo ndo mambo!
Saint Ivuga unaona huyu mwenzetu?
Uza vitu vyako vyote uwagawie masikini....hapo utakuwa umeambatana naye; tofauti na hivyo,utakuwa unaigiza tuNitaambatana naye popote mkuu
Safi sana mkuu, kumbuka maisha ya dunia ni mafupi na hizo mboga mboga utaziacha.........toka shabani ukale bataShambani napalilia na mazao huku nikitafakari namna kuweka mirija ya kujipatia fedha zaidi za kujikimu na familia View attachment 1470084
Mkuu una mawazo ya kujilipua?Hapana. Story za maisha,mpira,magari,meli,ndege na raia walivyojilipua ughaibuni.
Uku tukiangalia kwa macho uumbaji wa maua mazuri yanayopita, na wenye visu vikali huwa wanafanya kweli na kutuacha wanyamwezi tukiendeleza story.
Angalia usije ukampandisha cheoNitakuwa na mchepuko wangu mpya.