Weekend hii

Nikupe ofa ? Maana kuna dada mjinga nimempa ofa nikamwambia achukue bajaji aje, eti ananiambia yeye sio wa daraja la bajaji. Nimemjibu " hataiona pepo "
Ulifanya vizuri kuachana naye!

Haya maneno ya shombo nimekutana nayo jana tu mchana! Nampigia simu namwambia chukua Pikipiki au bajaji ili uwahi eneo la tukio, akanijibu yeye siyo wa hadhi hiyo! Nikamwambia bhaaasi! Subiri wa hadhi yako!

Akanipigia simu saa mbili eti anataka aje! Nilimjibu kwa ujasiri na kujiamini kwamba; "Unahisi toka saa 7 mchana hadi saa hizi saa mbili, sijapata kampani"?
 
[emoji23][emoji23][emoji23], makamanda tupo wengi.. !!
 

Dah
 
Wewe ni kiboko aiseehkha!!umemkata kilimi choteeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ