Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hali hii mkuu,no way wacha nitafute aiseeh.hii biashara ya kwenda kulewa pekee yangu sitaki ijirudie tena[emoji2][emoji2]
Ulifanya vizuri kuachana naye!Nikupe ofa ? Maana kuna dada mjinga nimempa ofa nikamwambia achukue bajaji aje, eti ananiambia yeye sio wa daraja la bajaji. Nimemjibu " hataiona pepo "
[emoji23][emoji23][emoji23], makamanda tupo wengi.. !!Ulifanya vizuri kuachana naye!
Haya maneno ya shombo nimekutana nayo jana tu mchana! Nampigia simu namwambia chukua Pikipiki au bajaji ili uwahi eneo la tukio, akanijibu yeye siyo wa hadhi hiyo! Nikamwambia bhaaasi! Subiri wa hadhi yako!
Akanipigia simu saa mbili eti anataka aje! Nilimjibu kwa ujasiri na kujiamini kwamba; "Unahisi toka saa 7 mchana hadi saa hizi saa mbili, sijapata kampani"?
Ulifanya vizuri kuachana naye!

Wewe ni kiboko aiseehkha!!umemkata kilimi choteeeeUlifanya vizuri kuachana naye!
Haya maneno ya shombo nimekutana nayo jana tu mchana! Nampigia simu namwambia chukua Pikipiki au bajaji ili uwahi eneo la tukio, akanijibu yeye siyo wa hadhi hiyo! Nikamwambia bhaaasi! Subiri wa hadhi yako!
Akanipigia simu saa mbili eti anataka aje! Nilimjibu kwa ujasiri na kujiamini kwamba; "Unahisi toka saa 7 mchana hadi saa hizi saa mbili, sijapata kampani"?
Mkuu mbona haujatokea, ahadi hewa tena watu wazima hivi, kweri?Nisubiri nakuja mkuu
Weekend ya leo najisikia kulewalewa tu [emoji2][emoji2]
Nimevurugika
Relax mkuu nitakuja
Utakuwa ni uchoyo wakati kuna watu tunakunywa wenyewe mpaka tunamwaga chini wakumpa hatunaRaha jipe mwenyewe love