Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje ? Mpuuzi sana yule bidada..ahahahaha....!bas awe hata na 200k.kwa account hana hata mia..ila mashauzi sasa[emoji28]
Sasa hivi nasongesha na wanaojielewaNa mm nakazia hataiona pepo
Nipe mkuu😚😚huyo aliyekataa daraja la bajaji hatoiona pepo wala kimbunga😊😊Nikupe ofa ? Maana kuna dada mjinga nimempa ofa nikamwambia achukue bajaji aje, eti ananiambia yeye sio wala daraja la bajaji. Nimemjibu " hataiona pepo "
Achana vitoto hivyoSasa hivi nasongesha na wanaojielewa
Nami pia huwa nakuwa kwenye pindi kama hicho, dawa yangu huwa nachukuwa wine, nyama choma najifungua chumbani na mziki mkubwa kwa raha zangu. Nasahau kila kitu. Weka chini shida kisha mbanjuka tuSijaacha wala kuacha na huyo wa kuachana nae sina.nafikiri ni kujichanganya tu mkuu wangu ruby garnet
Huku kwema..Mungu anajalia
Naomba ruhusa ya kwenda kuchukua mahari. Maana kunammoja humu ameamua hadi kutumia Avartari yako.
Ke lakini flatskirini
Mbn kama tunakaribia kufanana kwenye hizo sifa aiseeh...Nami pia huwa nakuwa kwenye pindi kama hicho, dawa yangu huwa nachukuwa wine, nyama choma najifungua chumbani na mziki mkubwa kwa raha zangu. Nasahau kila kitu. Weka chini shida kisha mbanjuka tu