Weekend ijayo kuna mechi ngapi za kimataifa kwa Mkapa?

Weekend ijayo kuna mechi ngapi za kimataifa kwa Mkapa?

Makolo yanacheza ijumaa lakini wamegoma kabisa kuizungumzia mechi yao.

Wapo bize kuangalia mazoezi na kununua jezi za mtumba za mamelodi.
 
Atakuwepo
IMG-20240322-WA0778.jpg
 
Story zote hapa nchini ni juu ya mechi ya Yanga v Mamelodi Sundowns. Naomba kujuzwa, ile ya Simba v Al Ahly imeahirishwa? au kuna mechi ngapi jaman
Ukienda kule mtandao wa X Yanga ndo anaongoza kwa kutajwa sana
 
Nyani mnajibishana wenyewe kwa wenyewe. Simba wako kimya kwa vile siyo jambo geni kwao sasa nyie washamba na malimbukeni wa haya mashindano ndiyo mnahangaika
 
Back
Top Bottom