Weekend inakueje pande hizo wana jf kuleni bata,

Weekend inakueje pande hizo wana jf kuleni bata,

Big man

Senior Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
128
Reaction score
14
Wana jf pande hizi ni shwari ndani ya moshi, wakuu angalieni msipitilize mkumbuke kesho mnatakiwa kwenye majukumu ya kujenga taifa, wakuu niko raundi mazee,
 
Tutake radhi wachaga tunakunywa pilsner kwa kuwa
kitochi imeisha ama??
 
Back
Top Bottom