Weekend kwa Dar es salaam ni maeneo ya beach au club gani nikienda sikosi kuopoa mtoto wa Kizungu ?

Weekend kwa Dar es salaam ni maeneo ya beach au club gani nikienda sikosi kuopoa mtoto wa Kizungu ?

Kijana Wa Dar

Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
98
Reaction score
216
Nataka nikasafishe nyota maana nasikia wazungu wanakujaga na baraka tele.
Msaada tafadhali.

Nina 90 haina kazi

Karibuni kwa majibu.
 
Last edited:
Hela unayo?!kuna mwenzio jn tumekaa nae sehem kuambiwa serengeti lite sh 5000 na mshikaki mmoja sh 6000 akaanza kulalamika

hawa watu wakijaga kutokea mazimbu huko na hela zao za kilimo cha vitunguu wanasumbua sana, mtu nilienda nae ELEMENTS ANASHANGAA BIA 6000 kisa wametangaza bia zimeshuka hadi Buku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
90 hung’oi demu wa kizungu mkuu. Tupige hesabu ndogo nauli yako kufika eneo la bata buku 10, bia moja buku 5 tuchukulie mmekunywa 6 buku 30 msosi wote wawili mkijibana buku 30 usafiri kwenda hotel taxi buku 15 room buku 40 ndomu 5 bado hujamlipa ujira wake.

Mkuu kawachukue kina Mwajuma ndala ndefu mzungu utasubiri sana
 
Back
Top Bottom