Weekend kwa Dar es salaam ni maeneo ya beach au club gani nikienda sikosi kuopoa mtoto wa Kizungu ?

Weekend kwa Dar es salaam ni maeneo ya beach au club gani nikienda sikosi kuopoa mtoto wa Kizungu ?

hahaha nina 90 haina kazi hapa mkuu.


Hela hiyo kwa uswahilini poa kwa sababu kule chupa ya gongo ni shillingi 500 mpaka 1000. Mshikaki wa paka, mbwa na mizoga ya Vingunguti ni shillingi 500, demu wa uwanja wa fisi kulala naye usiku mzima ni chini ya shillingi elfu 10, maelewano tu. Kwa hiyo 90 huko uswahili wewe ni bepari wa ngono.
 
Hela unayo?!kuna mwenzio jn tumekaa nae sehem kuambiwa serengeti lite sh 5000 na mshikaki mmoja sh 6000 akaanza kulalamika
kuna watu wakiambiwa kinywaji cha bei rahisi ndo hicho wanakataa
hahaaa "" yanini " apate shida " wakati " sewa bar pale buguruni " malaya wamejaa" kibao " atawala", na chenji kibao zitabaki", ambazo zitakuwa zinatosha kabisa kwenda kujitibu gono
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utachajiwa kwa dola sio hii pesa ya madafu, Andaa angalau dola 500,

uende na milioni 1 na laki 2 sehemu wanakobadilishia pesa waambie wakupe noti 5 za dola 100,
 
Yaaani ", nawale huwa wanapenda", wine" mizinga miwili tu ya Jd mtoa mada lazima apagawe"", na ili kuwapata wale aende sea clif" yatch club " huko" sasa akienda na hiyo 90k yake'',si itaishia kwenye gharama za usafiri tu
Ina maana wazungu wanaopatikana huko wote ni golddiggers na ni malaya malaya ?
 
Back
Top Bottom