Kijana Wa Dar
Member
- Sep 22, 2016
- 98
- 216
Sawa ngoja nikajaribu leoCoco
janaMjin umekuja lin?
hahaha nina 90 haina kazi hapa mkuu.Hela unayo?!kuna mwenzio jn tumekaa nae sehem kuambiwa serengeti lite sh 5000 na mshikaki mmoja sh 6000 akaanza kulalamika
Kaa ndani piga punyeto tu, hiyo hela inaweza kununu sabuni pekee au UKIMWI, Ila mwanamke wa kizungu hupati.hahaha nina 90 haina kazi hapa mkuu.
Utapata wazee tuu, ukitaka wazungu wafwate kwaoNataka nikasafishe nyota maana nasikia wazungu wanakujaga na baraka tele.
Msaada tafadhali.
Karibuni kwa majibu.
Hela unayo?!kuna mwenzio jn tumekaa nae sehem kuambiwa serengeti lite sh 5000 na mshikaki mmoja sh 6000 akaanza kulalamika
hahaha nina 90 haina kazi hapa mkuu.
hahaaaMjin umekuja lin?
hahaaaa 90k unataka yang'oe mzungu" duuuh jamaa yangu hebu jicheke kwanza aisehahaha nina 90 haina kazi hapa mkuu.
hahaaaKaa ndani piga punyeto tu, hiyo hela inaweza kununu sabuni pekee au UKIMWI, Ila mwanamke wa kizungu hupati.
hahaaa"", eti mazimbu"" mwambie ml.city soda 3000hawa watu wakijaga kutokea mazimbu huko na hela zao za kilimo cha vitunguu wanasumbua sana, mtu nilienda nae ELEMENTS ANASHANGAA BIA 6000 kisa wametangaza bia zimeshuka hadi Buku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣