Weekend mood wewe uko wapi Mimi nipo Sam city Makongolosi Chunya Mbeya ni vyupa kwa kwenda mbele. Wewe uko wapi?

Weekend mood wewe uko wapi Mimi nipo Sam city Makongolosi Chunya Mbeya ni vyupa kwa kwenda mbele. Wewe uko wapi?

Njoo hapa Chunya mjini kiwanja cha Moon Light tunajikoki na mafegi kama marasta
 
Kuna watu watadhani mwana yuko Makongolosi kweli😀

Nyie jikuteni mnatoa location kimasihara tuu.
 
Back
Top Bottom