Weekend mood wewe uko wapi Mimi nipo Sam city Makongolosi Chunya Mbeya ni vyupa kwa kwenda mbele. Wewe uko wapi?

Wataufufa huu uzi msa c mrefu
Juzi ijumaa ya wiki ilopita nliweka wa kwangu kama huu haukuchukua nusu saa...

Labda wa kwako utabaki
 
Njoo hapa Chunya mjini kiwanja cha Moon Light tunajikoki na mafegi kama marasta
 
Kuna watu watadhani mwana yuko Makongolosi kweliπŸ˜€

Nyie jikuteni mnatoa location kimasihara tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…