Weekend Movies

Weekend Movies

Nzagambaaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2023
Posts
1,135
Reaction score
1,826
Wadau wa movies,Kuna movie moja imechezwa Africa na watoto wawili, mmja dogo wa kiume na mwingine wa kike(west Africa) hope Cameron.

Madogo wote wanandoto za kuzamia ulaya kupitia Morocco to Spain.Madogo wanapanda ndege kule matayle ya ndege yanapojikunjia..........wapo juuu barid kinomaa wakitegeme wakishuka watakua Ulaya....kushuka ivi wanaona black people tupu( still in Africa) Mauritania katika kutua Binti alizidiwa upepo na barid akadondokea baharini akabaki boy.
Baada ya kufika Mauritania dogo aakakutana na kijana mwenzie nae analengo la kwenda Ulaya. Huyo wakawa kama ndugu hao mpaka Morocco.Morocco ni karibu na Spain ukivuka ng'ambo tu tayari good life.Madogo Hawa wakaamua kuvuka bahari kwa kuogelea. Ile wanavuka Spain police wakawadaka.

Hapo kilichofuata ni kutenganishwa kati dogo na rafiki yake ambaye alipelekwa gereza la wakubwa dogo gereza la madogo,dogo alilia sanaaa😭😭huko dogo akawa nakipaji Cha soka na alitoboa akawa na maisha Bora sana.

Wadau hiii movie nimeisahau Jina,Lego langu hapa niipe jina lake niiicheck tenaaa. Nawasilisha Ombi!.
 
FB_IMG_16713957833830885.jpg
 
Back
Top Bottom