Weekend na kauli za wapenzi

Weekend na kauli za wapenzi

entry

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2018
Posts
286
Reaction score
539
Wakuu habarini, weekend ikifika watu waliokuwa na michepuko wanakuwa na kauli mbali mbali ilimradi waweze kutanua wakiwa na hao wapenzi wao ambaye sio wewe, mfano wa kauli zao ni>

1. Leo nimechoka nataka niwahi kulala
2. Kuna wageni wanakuja nitakuwa niwapikie so nitakuwa busy
3. Simu haina chaji
4. Naenda kwa ma mdogo hapendi nishike simu
5. Nimetoka nje ya mji mtandao unasumbua au sikuchajisha simu usiku.
6. N.K
Emu ongezea na wewe kauli ambazo ukisikia unapata wasiwasi
 
Back
Top Bottom