Weekend na kauli za wapenzi

Weekend na kauli za wapenzi

Jana mi nimepigwa Chipsi za 3000 Kuku Robo na JUICE 2000 baada ya kupata alichotaka akaniambia anaondoka atanipigia anawai kwao Daah nimelala kwa shida sana.
Unampaje wewe kabla ajakupa yeye? Inabidi atoe huduma ndio ahudumiwe
 
Kichwa kinauma sijiskii kuongea tuma sms

Note: Mara nyingi hii inatokea pale demu katoka kupelekewa moto ...round ya kwanza imeisha anajiandaa kwa second round
 
1.Nakuja lakini sitaki tufanye kitu chochote.

2. Nakuja lakini sikai sana.
 
Jana mi nimepigwa Chipsi za 3000 Kuku Robo na JUICE 2000 baada ya kupata alichotaka akaniambia anaondoka atanipigia anawai kwao Daah nimelala kwa shida sana.
[emoji23][emoji23] uwezi kulala moyo unasonona
 
Kichwa kinauma sijiskii kuongea tuma sms

Note: Mara nyingi hii inatokea pale demu katoka kupelekewa moto ...round ya kwanza imeisha anajiandaa kwa second round
You have experience
 
Nataka nikamsalimie mjomba Buza, nikiwahi nitakujulisha...

Wanaume tunapigwa sana.
 
"Leo sitaweza kuja mama kaniomba nimsindikize kwenye mkesha kanisani"
 
Back
Top Bottom