Yes sirUmeoa mkuu
Hongereni sana vijana, ebu endeleeni kupanga foleniHongera aisee, mimi na vijana wenzangu tunasubiria kauli hapa za kupangwa
Alaf akitoka huko ndio anakwambia " yan hapo nipo bored nataman ata ungekuwa karibu""Ukiona kimya ujue kuna kazi namalizia", kumbe ndiyo anatoka kwenda kwa huyobabe wake😂
Boys tunapigwa sana kwenye suala la mahusiano.Alaf akitoka huko ndio anakwambia " yan hapo nipo bored nataman ata ungekuwa karibu"