Weekend na mwanaJF

chalii hali tete kama upo vzr mlipie tu uber si unaona anavyodunduliza?
Duh kibubu kikijaa chukua Uber basi twende kwenye harusi.
hongera mzigua ila usitoe yote nrushie ya juice ya miwa
mzigua
Nimetumiwa hela sasa line iko kwenye kimeo sijui naitoaje Nikaanze Siku mie. Nasubiri ya bby Namba 2 sasa hivi
miss natafuta ujue mpaka sasa hivi wewe ni don humu ujue
Bora ya Mimi mwenye buku saba
 
Mkuu hali tete kama upo vzr mlipie tu uber si unaona anavyodunduliza?
hongera usitoe yote nrushie ya juice ya miwa

mpaka sasa hivi wewe ni don humu ujue
Hahaha mimi nna kadi tu hela sina ndio maana nikamuambia kibubu kikijaa ikitosha ya uber go and return poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…