Weekend na mwanaJF

Weekend na mwanaJF

chalii hali tete kama upo vzr mlipie tu uber si unaona anavyodunduliza?
hongera mzigua ila usitoe yote nrushie ya juice ya miwa
mzigua
miss natafuta ujue mpaka sasa hivi wewe ni don humu ujue
Ahaa kweli .Na mpaka sasa hivi imefika 59 kuna mchepuko niliukopesha umekuwa loyal umerudisha.hata sitaki tena kampany buku namtafuta shosti wangu mlevi namnunulia konyagi kubwa
 
una buku saba alafu unakunywa maji tu, ok!

Kunywa maji mengi hapo kwako then ulale. It is too expensive out here to have fun with elfu saba in your handbag!

Too expensive for your body and budget!
kutoka muhimu sana home panachoshaa
 
Back
Top Bottom