Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Amina. Ila danga anipe hela kunipa gari nitembelee staki. Anipe tu hela nikanunue mwenyeweMungu akupe danga lenye pesa ununuliwe Range kabisa, huwa u mkweli sana kiasi flani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina. Ila danga anipe hela kunipa gari nitembelee staki. Anipe tu hela nikanunue mwenyeweMungu akupe danga lenye pesa ununuliwe Range kabisa, huwa u mkweli sana kiasi flani
Uko wapi nije maana kichwa kinaniuma nitatumia na nani huu mzigo weekend hii
View attachment 888728
Hahahahahaaa... Umerogwa weweNiliona picha ya Miss Natafuta hata hana chura![emoji19][emoji19][emoji19]
Nakupenda. Naomba noti moja ya kijivu tafadhaliUko wapi nije maana kichwa kinaniuma nitatumia na nani huu mzigo weekend hii
View attachment 888728
Siachii. Kesho twende kwenye mishkaki kwanza. Nimemiss ile makange yaoAcha uroho ww dada
Siachii. Kesho twende kwenye mishkaki kwanza. Nimemiss ile makange yao
Analalamika huna chura!Mwambie anitumie nauli eti
kwani nauli ya mwendo kasi ya huko dasilamu ni 7000 [emoji15][emoji15][emoji15]Asante d .ila uko mbali buku saba itaisha hata sijafika ubungo eti
nakusindikizaaTegeta mkuu
Hahahahaaa. Haya kaa. Ntaenda mapema kabisa nadhani. Nikacheke kidogo Na shoga yanguNipo na mfungo wa mwezi mzima nisije nikapata pepo bure la kunywa heineken
Mmmmhnakusindikizaa
mimi nakuja kukuchukua kabisaaMmmmh
Tunaenda wapi halafu? Sina NGUO lakini. Unijie kabisa Na jeans au gauni ya blue/redmimi nakuja kukuchukua kabisaa
Hahahahaaa. Haya kaa. Ntaenda mapema kabisa nadhani. Nikacheke kidogo Na shoga yangu
nakuja na begi kabisaa tunaenda vacation nchi za mbali sio harusini tenaaTunaenda wapi halafu? Sina NGUO lakini. Unijie kabisa Na jeans au gauni ya blue/red
Umemuona Rrondo lakini?Tunaenda wapi halafu? Sina NGUO lakini. Unijie kabisa Na jeans au gauni ya blue/red
Mwendokasi hauendi tabata bnakwani nauli ya mwendo kasi ya huko dasilamu ni 7000 [emoji15][emoji15][emoji15]
Shunie msalimie mumuYaan wewe lazima utanishawishi tu ninywe beer nikirudi kwangu usiku nianze kutubu sasa kwa pepo la pombe
Nilikuwa na mumu kwenye maombi kwa da Cole jamani
oooh nisameheni ila sikumaanisha huko ila kamata uber nitalipamo mimiiMwendokasi hauendi tabata bna